Saturday 31 May 2014

VIFAA TIBA, VYATOLEWA KWA MKOA WA MBEYA NA TANGA KWA AJILI YA MRADI WA AFYA YA MAMA NA MTOTO UNAOTEKELEZWA KWA USHIRIKIANO WA MFUKO WA TAIFA BIMA YA AFYA (NHIF) NA BENKI YA MAENDELEO YA WATU WA UJERUMANI-kfw


 
 VIFAA HIVYO NA MAJINA YAKE LA,A VINAVYOONEKANA. Vimekabidhiwa leo rasmi katika hafla fupi ya makabidhiano iliyofanywa na Waziri wa Afya, Dr. Seif Rashid, mkoani Mbeya.














 Kulia ni Mratibu wa afya ya mama na mtoto, Prisca Butuyuyu, akibadilishana mawazo na Naibu Mkurugenzi Mkuu wa mfuko wa bima ya Taifa ya bima ya Afya Hamis Mdee(kushoto), katika hafla fupi ya kukabidhi vifaa tiba kwa ajili ya mradi wa KFW.

 Kushoto ni Meneja wa NHIF mkoa wa Tanga, Ally Mwakababu, akibadilishana mawazo na afisa wa NHIF, Mkoa wa Mbeya.


 Mwandishi wa habari wa kike kuzungumza mbele ya wanaume haoni shida, hapo ni Mwandishi wa habari Saada Matiku, akizungumza jambo kwa waandishi wenzake kabla ya hafla.

 
 Kulia ni mwakilishi wa bank ya watu wa ujerumani, Dada Sharon Kuzilwa, akiwa na Angel wa NHIF.
 Wataalam wa Afya wakiwemo wauguzi....
 Mwakilishi wa bank ya watu wa ujerumani, Dada Sharon Kuzilwa.
 
 Mganga mkuu wa mkoa wa Mbeya, Dr. Seif Mhina, akitoa shukrani na kwamba atahakikisha vifa hivyo vinatunzwa vema katika matumizi huko wilayani, hayo ameyasema katika hafla fupi ya kukabidhi rasmi vifaa vya tiba kwa ajili ya mradi wa KFW, Hospitali ya mkoa wa Mbeya Tarehe 09/01/2014.
 

No comments:

Post a Comment