Thursday 5 June 2014

EVIDENCE FOR ACTION (E4A), WAZINDUA MAMAYE!

Mganga Mkuu wa wilaya ya Buhigwe, Cosmas Buguzi akijitolea  damu kwa hiari wakati wa uzinduzi wa mpango wa uhamasishaji jamii kutoa damu kwa hiari uliokuwa unaendeshwa na asasi isiyo ya kiserikali Evidence for Action kupitia kampeni yake ya Mama Ye.(Picha na Fadhili Abdallah)

No comments:

Post a Comment